MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, akimkabidhi cheti cha ubalozi wa Utalii wa Zanzibar, kiungo wa Timu ya PSG ya Ufaransa aliewahi kuchezea timu ya Manchester United, Ander Herera katika Ofisi zake zilizopo Baraza la Wawakiishi, Chukwani Zanzibar. (Picha na OMPR)

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, akisalimiana na kiungo wa timu ya PSG ya Ufaransa, aliewahi kuchezea timu ya Manchester United, Ander Herera huko Ofisi zake zilizopo Baraza la Wawakiishi, Chukwani Zanzibar, kulia ni Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale, Simai Muhammed Said.
(Picha na OMPR)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *