Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais, Sera na Uratibu na Baraza la Wawakilishi, Hamza Hassan Juma (Kushoto), akizungumza kwenye mkutano na waandishi wakati akitoa ufafanuzi kuhusu bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022 /2023 huko ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani, mjini Unguja. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais, Thabit Idarous Faina

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *