katibu Mkuu Faina akisema Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais kupitia Kamisheni ya kukabiliana na Maafa

katibu Mkuu Wizara ya Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi Ndugu Thabit Idarusi Faina amesema Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais kupitia Kamisheni ya kukabiliana na Maafa imechukua jitihada mbalimbali ikiwemo kuandaa makala mbalimbali na kutoa elimu ya Kwa wanafunzi na jamii Kwa ujumla juu ya kukabiliana na Maafa.Katibu Faina alisema hayo Leo Tarehe 13/10/2021 wakati akizungumza na wadau mbalimbali Wa kukabiliana na Maafa katika kile cha siku ya Maafa Duniani katika Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdul wakil kikwajuni.

Leave a Reply

Your email address will not be published.