Mkurugenzi idara ya uendeshaji na Utumishi Ofisi ya makamu wa

Mkurugenzi idara ya uendeshaji na Utumishi Ofisi ya makamu wa Pili wa Rais Sera, Uratibu na Baraza la wawakilishi Ndugu Khamis Haji Juma amewataka watendaji wa Ofisi hiyo kuwa na utaratibu wa upimaji Afya zao mara kwamara ili kuepukana na maradhi nyemelezi.Mkurugenzi Khamis aliyasema hayo wakati akikabidhi vyeti kwa Madaktari kutoka Hospital ya Rufaa Mnazi mmoja na Madaktari kutoka katika Taasisi ya Muembetanga youth Orgnazation walioshirikia katika Zoezi la Kupima Afya za Watumisjhi wa Afisi ya Makamu wa Pili Rais

Leave a Reply

Your email address will not be published.