Afisa mfatiliaji na tathmini Ibrahim Khalid Abdalla akisisitiza jambo kwa masheha

Afisa mfatiliaji na tathmini Ibrahim Khalid Abdalla akisisitiza jambo kwa masheha kuwakumbusha walengwa wa mpango wa kunusuru kaya maskini kuchukua stakabadhi zao zote ikiwemo kitambulisho cha mpango pamoja na kuchukua risti baada ya malipo.

Leave a Reply

Your email address will not be published.