Katibu Mkuu Faina Akitoa Maelekezo

Katibu Mkuu Afisi Ya Makamu Wa Pili Wa Rais Sera,Uratibu na Baraza la Wawakilishi Thabit Idarous Faina Akitoa Maelekezo Kwa Wajumbe wa Kamati ya Ufuatiliaji wa Maeneo yaliyo athirika na Mvua za Masika za Mwaka 2020 wakati Walipotembelea Eneo la Dole Wilaya ya Magharibi A Leo Tarehe 16/09/2021

Leave a Reply

Your email address will not be published.