Dkt. Khalid Salum Mohamed Amesema suala la ulinzi wa Nchi ni jukumu la kila Mwananchi

Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili Wa Rais Sera, Uratibu na baraza la wawakilishi Dkt. Khalid Salum Mohamed Amesema suala la ulinzi wa Nchi ni jukumu la kila Mwananchi katika kuhakikisha Nchi inaondokana na vitendo viovu katika JamiiAlisema hayo wakati akifungua Mafunzo ya Uhamiaji kwa Masheha wa unguja na Pemba katika Ukumbi wa Sheikh Idrsa Abdul wa kili kikwajuni, Mafunzo yaliyo andaliwa na Idara ya Uhamiaji Zanzibar.

Leave a Reply

Your email address will not be published.