Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imejipanga katika Kuwawezesha vijana kukua Kiuchumi

Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera, Uratibu na Baraza la wawakilishi Dkt. Khalid Salum Mohamed amesema Kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imejipanga katika Kuwawezesha vijana kukua Kiuchumi hasa katika kuzitumia frusa zilizopo katika ukuwaji wa Uchumi wa Buluu.Ameyaema hayo leo wakati akifungua Mkutano wa Mwaka wa Vijana Katika Ukumbi wa Sheikh Idirisa Abdul wakili Kikwajuni wakati alipo kuwa akizngumza na washiriki pamoja na Vijana katika Mkutao huo ulioandaliwa na asasi mbalimbali zisizo za kiserikali.

Leave a Reply

Your email address will not be published.