Katibu Faina akifafanua jambo katika kikao cha mashirikiano

Katibu Mkuu Ofisi Afisi ya Mkamu wa Pili wa Rais Sera, Uratibu na Braza la wawakilishi Thabit Idarous Faina akifafanua jambo katika kikao cha mashirikiano kwa ngazi ya Makatibu wkuu baina ya Ofisi ya Makmu wa Rais Muungano na Mazingira na Afisi ya Mkamu wa Pili wa Rais( Sera, Uratibu na Baraza la wawakilishi) kilicho fanyika leo Tarehe 2/07/2021 Dodoma.

Leave a Reply

Your email address will not be published.