Dira na Dhamira

DIRA:

Kuwa na Serikali yenye kutoa huduma bora kwa jamii na yenye uhimili mzuri wa uchumi, umoja na maendeleo endelevu.

DHAMIRA:

Kuratibu na kusimamia utekelezaji wa shughuli za Serikali katika sekta zote za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na mambo ya Muungano kwa kufuata misingi ya Katiba, Sheria, taratibu, pamoja na kuhakikisha kufuata misingi ya haki za kibinaadamu na ushirikishwaji.